Authors
Mutahi Miricho, David Maina, Pauline Kea, Philip Lumwamu, Florence MutekwaExercises kit’s authors
Mutahi Miricho, David Maina, Pauline Kea, Philip Lumwamu, Florence MutekwaPublisher
-
The study kit contains 60 chapters and 93 exercises of which 64 are in the chapters and 29 in the task exercises.
-
Authors
Mutahi Miricho, David Maina, Pauline Kea, Philip Lumwamu, Florence Mutekwa -
Exercises kit’s authors
Mutahi Miricho, David Maina, Pauline Kea, Philip Lumwamu, Florence Mutekwa -
Subject
Kiswahili -
Grade
Grade 8 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Kenya Literature Bureau -
Included in packages
Kiswahili Gredi ya 8
KLB TopScholar Kiswahili Gredi ya Nane (Kitabu chaMwanafunzi) kimechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwanafunzi katika lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.Aidha, mwanafunzi wa Gredi ya Nane amekuziwa msingi madhubuti wa somo la fasihi katika kitabu hiki. Yafuatayo yamezingatiwa kwa kina:
• Kitabu hiki kimechapishwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi wa Gredi ya Nane kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD).
• Mwanafunzi amepewa nafasi ya kutosha ya kutambua na kujifunza mambo mapya ili kukuza uwezo wake wa kukabili mambo katika maisha kupitia kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha ya Kiswahili.
• Msamiati unafunzwa kimuktadha kupitia vifungu vya kusoma, kusikiliza na kuandika katika kila mada.
• Mazoezi ainati, mifano na picha zimetumika kwa nia ya kulenga mazingira ya mwanafunzi na usasa ili kumrahisishia ujifunzaji.
• Masuala mtambuko yamejumuishwa ili kumkuza mwanafunzi mwenye umilisi, maadili na aliye na ujuzi wa kidijitali maishani.
• Kitabu hiki kimekuza upekee wa ujifunzaji unaojitokeza kupitia kwa sehemu kama vile: Changamkia inayolenga kumfanya mwanafunzi kutumia kwa njia yenye raha fulani ujuzi aliopata; Wazo Bainifu inayolenga kudokeza dhana kuu katika mada ndogo na Tafakuri iliyojumuishwa mwishoni mwa kila mada ili kumwelekeza mwanafunzi kujitathmini. Kitabu hiki kimeidhinishwa na KICD. Kimenunuliwa na kusambazwa nchini na serikali ya Kenya ili kutumika na wanafunzi katika Gredi ya Nane katika shule za umma.
1. Usafi wa sehemu za umma
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
Kusikiliza na kujibu: Mahojiano
Free chapter! |
1.2. | Kusoma: Ufahamu wa kifungu cha simulizi |
1.3. | Kuandika: Viakifishi – Alama ya hisi(!) na ritifaa (’) |
1.4. | Sarufi: Viwakilishi |
2. Matumizi yafaayo ya dawa
3. Dhiki zinazokumba wanyama
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Hadithi – Mighani |
3.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina – Tamthilia |
3.3. | Kuandika: Insha za kubuni – Masimulizi |
3.4. | Sarufi: Viwakilishi |
4. Matumizi bora ya maliasili
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Hadithi – Visasili |
4.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufasaha |
4.3. | Kuandika: Insha za kubuni – Masimulizi |
4.4. | Sarufi: Nyakati na hali |
5. Majukumu ya kijinsia
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza – Maagizo |
5.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufahamu |
5.3. | Kuandika: Insha ya maelekezo |
5.4. | Sarufi: Nyakati na hali |
6. Usalama nyumbani
Lead |
Chapter |
---|---|
6.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa kufasiri |
6.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina – Tamthilia |
6.3. | Kuandika: Insha za kubuni – Mdokezo |
6.4. | Sarufi: Vivumishi |
7. Kuhudumia wenye mahitaji maalumu
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa makini – Usikilizaji husishi |
7.2. | Kusoma: Ufupisho |
7.3. | Kuandika: Insha za kubuni – Maelezo |
7.4. | Sarufi: Vivumishi |
8. Uhalifu wa mtandaoni
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Aina za uzungumzaji |
8.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina – Tamthilia |
8.3. | Kuandika: Viakifishi |
8.4. | Sarufi: Ngeli na upatanisho wa kisarufi |
9. Majukumu ya mnunuzi
10. Kukabiliana na hisia
Lead |
Chapter |
---|---|
10.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Hadithi |
10.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina – Tamthilia |
10.3. | Kuandika: Barua ya kuomba msaada |
10.4. | Sarufi: Vinyume vya vitenzi na vielezi |
11. Haki za watoto
12. Magonjwa yasiyoambukizwa
Lead |
Chapter |
---|---|
12.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa makini |
12.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufasaha |
12.3. | Kuandika: Insha ya kiuamilifu – Hotuba |
12.4. | Sarufi: Aina za sentensi |
13. Heshima kwa tamaduni za wengine
Lead |
Chapter |
---|---|
13.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Wahusika katika hadithi |
13.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina – Tamthilia |
13.3. | Kuandika - Insha za Kubuni |
13.4. | Sarufi: Ukanushaji kwa kuzingatia hali |
14. Kuweka akiba
Lead |
Chapter |
---|---|
14.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Hadithi – Matumizi ya lugha |
14.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufahamu – Kifungu cha mjadala |
14.3. | Kuandika: Insha ya maelekezo |
14.4. | Sarufi: Udogo wa nomino |
15. Maadili ya kijamii
Lead |
Chapter |
---|---|
15.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza husishi |
15.2. | Kusoma: Ufupisho |
15.3. | Kuandika: Baruapepe ya kiofisi |
15.4. | Sarufi: Usemi halisi na usemi wa taarifa |