Authors
Wallah bin WallahExercises kit’s authors
Wallah bin WallahPublisher
-
The study kit contains 58 chapters and 119 exercises of which 65 are in the chapters and 54 in the task exercises.
-
Authors
Wallah bin Wallah -
Exercises kit’s authors
Wallah bin Wallah -
Subject
Kiswahili -
Grade
Grade 3 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Longhorn Publishers -
Included in packages
Longhorn Kiswahili Mufti, Gredi 3 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya tatu.
Vilevile, kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi iii kueleweka kwa urahisi na wanafunzi wa gredi ya tatu kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: maadili, haki za watoto, afya bora, uraia, ujasiriamali, elimu endelevu, teknolojia na mazingira.
Kadhalika, michoro ya kuvutia imetumiwa iii kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utampa mwalimu maelezo kamili kuhusiana na mbinu mwafaka za kutayarisha, kuendesha na kutathmini vipindi vya Kiswahili darasani kwa wanafunzi wa gredi ya tatu.
1. SHAMBANI
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
Shambani
Free chapter! |
1.2. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /fy/ |
1.3. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /kw/ |
1.4. | Msamiati |
1.5. | Kusikiliza na kuzungumza |
1.6. | Kusoma |
1.7. | Kuandika |
1.8. | Sarufi |
2. UZALENDO
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | Uzalendo |
2.2. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /nd/ |
2.3. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /pw/ |
2.4. | Msamiati |
2.5. | Kusikiliza na kuzungumza |
2.6. | Kusoma |
2.7. | Kuandika |
2.8. | Sarufi |
3. MIEZI YA MWAKA
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | Miezi ya mwaka |
3.2. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /nj/ |
3.3. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /ng/ |
3.4. | Msamiati |
3.5. | Kusikiliza na kuzungumza |
3.6. | Kusoma |
3.7. | Kuandika |
3.8. | Msamiati |
3.9. | Sarufi |
4. KAZI MBALIMBALI
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | Kazi mbalimbali |
4.2. | Sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja /vy/ |
4.3. | Msamiati |
4.4. | Kusikiliza na kuzungumza |
4.5. | Kusoma |
4.6. | Kuandika |
4.7. | Sarufi |
5. USALAMA
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Usalama |
5.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
5.3. | Kusikiliza na kuzungumza II |
5.4. | Kusoma |
5.5. | Kuandika |
5.6. | Sarufi |
6. USAFI WA MAZINGIRA
Lead |
Chapter |
---|---|
6.1. | Usafi wa mazingira |
6.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
6.3. | Kusoma |
6.4. | Kuandika |
6.5. | Sarufi |
7. DUKANI
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Dukani |
7.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
7.3. | Kusoma |
7.4. | Kuandika |
7.5. | Sarufi |
8. NDEGE NIMPENDAYE
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | Ndege nimpendaye |
8.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
8.3. | Kusoma |
8.4. | Kuandika |
8.5. | Sarufi |
9. SOKONI
Lead |
Chapter |
---|---|
9.1. | Sokoni |
9.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
9.3. | Kusoma |
9.4. | Kuandika |
9.5. | Sarufi |