Authors
Mutahi Miricho, Philip Visendi, Pauline Kea, Florence Mutekwa, David Maina KamauPublisher
-
The study kit contains 60 chapters and 76 exercises of which 58 are in the chapters and 18 in the task exercises.
-
Authors
Mutahi Miricho, Philip Visendi, Pauline Kea, Florence Mutekwa, David Maina Kamau -
Subject
Kiswahili -
Grade
Grade 7 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Kenya Literature Bureau -
Included in packages
KLB TopsScholar Kiswahili Gredi ya 7 (Kitabu cha Mwanafunzi) kimechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwanafunzi katika lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Aidha, mwanafunzi wa Gredi yo Saba amekuziwa msingi madhubuti wa somo la Fasihi katika kitabu hiki.
• Kitabu hiki kimechapishwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi wa Gredi ya Saba kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD).
• Mwanafunzi amepewa nafasi ya kutosha ya kutambua na kujifunza mambo mapya iii kukuza uwezo wake wa kukabili mambo katika maisha kupitia kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha ya Kiswahili.
• Mazoezi ainati, mifano na picha zimetumika kwa nia ya kulenga mazingira ya mwanafunzi na usasa ili kumrahisishia ujifunzaji.
• Masuala mtambuko na ya kiteknolojia yamejumuishwa kitabuni iii kukuza mwanafunzi anayewajibikia mabadiliko maishani na teknolojia.
• Kitabu hiki kimekuza upekee wa ujifunzaji unaojitokeza kupitia kwa sehemu kama vile: Changamka inayolenga kumfanya mwanafunzi kutumia kwa njia yenye raha fulani ujuzi aliopata; Shabashi inayolenga kudokeza dhana kuu katika mada ndogo; Tafakuri iliyojumuishwa mwishoni mwa kila mada iii kumwelekeza mwanafunzi kujitathmini.
1. Usafi wa Kibinafsi
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza na kujibu
Free chapter! |
1.2. | Kusoma: Ufahamu wa kifungu cha simulizi |
1.3. | Kuandika: Viakifishi |
1.4. | Sarufi: Aina za nomino I |
2. Lishe Bora
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa kina |
2.2. | Kusoma: Kusoma kwa mapana |
2.3. | Kuandika: Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko |
2.4. | Sarufi: Aina za nomino II |
3. Uhuru wa Wanyama
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Tanzu za Fasihi |
3.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina - Novela |
3.3. | Kuandika: Insha za kubuni |
3.4. | Sarufi: Aina za nomino III |
4. Aina za Maliasili
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Nyimbo za watoto na bembelezi |
4.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufasaha |
4.3. | Kuandika: Insha za kubuni — Masimulizi |
4.4. | Sarufi: Nyakati |
5. Unyanyasaji wa Kijinsia
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Mazungumzo mahususi |
5.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufahamu |
5.3. | Kuandika: Insha ya maelekezo |
5.4. | Sarufi: Nyakati na hali |
6. Usalama Shuleni
7. Kuhudumia Jamii Shuleni
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa ufahamu |
7.2. | Kusoma: Ufupisho |
7.3. | Kuandika: Insha ya kubuni — Maelezo |
7.4. | Sarufi: Aina za vitenzi — Vitenzi vishirikishi |
8. Ulanguzi wa Binadamu
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kuzungumza ili kupasha habari |
8.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina |
8.3. | Kuandika: Viakifishi — Kiulizi na koma |
8.4. | Sarufi: Ngeli na upatanisho wa kisarufi |
9. Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali Katika Mawasiliano
Lead |
Chapter |
---|---|
9.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza kwa kina |
9.2. | Kusoma: Ufahamu wa kifungu cha kushawishi |
9.3. | Kuandika: Insha za kubuni — Masimulizi |
9.4. | Sarufi: Ngeli na upatanisho wa kisarufi |
10. Kujithamini
Lead |
Chapter |
---|---|
10.1. | Kusikiliza Na Kuzungumza: Nyimbo za Kazi na Dini |
10.2. | Kusoma: Kusoma kwa kina — Wahusika |
10.3. | Kuandika: Barua ya kuomba msamaha |
10.4. | Sarufi: Vinyume vya maneno |
11. Majukumu ya Watoto
12. Magonjwa Ambukizi
Lead |
Chapter |
---|---|
12.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Kusikiliza kwa makini |
12.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufasaha |
12.3. | Kuandika: Hotuba ya kupasha habari |
12.4. | Sarufi: Aina za sentensi |
13. Utatuzi wa Mizozo
14. Matumizi ya Pesa
Lead |
Chapter |
---|---|
14.1. | Kusikiliza na kuzungumza: Lugha katika nyimbo |
14.2. | Kusoma: Ufahamu wa kifungu cha mjadala |
14.3. | Kuandika: Insha ya maelekezo |
14.4. | Sarufi: Ukubwa wa nomino |
15. Maadili ya Mtu Binafsi
Lead |
Chapter |
---|---|
15.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Kusikiliza habari na kujibu |
15.2. | Kusoma: Ufupisho |
15.3. | Kuandika: Kuandika kidijitali — Baruapepe |
15.4. | Sarufi: Usemi halisi na usemi wa taarifa |