Authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Benjamin S. Kilanga, Mutahi Miricho, Lilian Wairimu.Publisher
-
The study kit contains 107 chapters and 157 exercises of which 106 are in the chapters and 51 in the task exercises.
-
Authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Benjamin S. Kilanga, Mutahi Miricho, Lilian Wairimu. -
Subject
Kiswahili -
Grade
Standard 7 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Kenya Literature Bureau -
Included in packages
Hill ni toleo la nne la Kiswahili kwa Darasa la Saba. Kitabu hiki cha wanafunzi ni cha saba katika mfululizo wa vitabu vinane vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimezingatia kwa kina na kwa namna ya kipekee mada zote zilizomo katika silabasi ya Kiswahili kwa Darasa la Saba.
Katika toleo hili, maswala nyeti yameshughulikiwa kwa uketo na usasa kama vile utaratibu wa ngeli kwa kuzingatia upatanisho wa viambishi kisarufi. Maswala ibuka kama vile haki za watoto, mazingira, UKIMWI, uadilifu, jinsia, ajira za watoto na afya yameshughulikiwa kwa upana na utaalamu wa kupigiwa mfano.
Mifano, michoro ya rangi na picha nyingi zimetumiwa ili kulifanya somo hill liwe la kuvutia zaidi. Mazoezi kemkem yanayozingatia vipengele vyote katika silabasi yamejumuishwa ill kumhusisha mwanafunzi kikamilifu. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi kutoka mazingira na jamii mbalimbali. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitumia.
Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili, ambavyo vimechapishwa na KLB pia vyapatikana katika mfululizo huu:
• Kiswahili kwa Darasa la 1 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 1 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 2 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 2 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 3 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 3 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 4 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 4 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 5 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 5 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 6 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 6 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 7 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 8 Kitabu cha Wanafunzi
• Kiswahili kwa Darasa la 8 Mwongozo wa Walimu
1. SURA YA KWANZA
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi
Free chapter! |
1.2. | Kusoma: Maneno na sentensi |
1.3. | Kuandika: Insha ya picha |
1.4. | Sarufi: Viambishi ngeli I |
1.5. | Msamiati: Vitate |
2. SURA YA PILI
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Msamiati wa adabu na heshima |
2.2. | Kusoma: Haki za watoto |
2.3. | Kuandika: Barua ya kirafiki |
2.4. | Sarufi: Viambishi ngeli II |
2.5. | Msamiati: Vitate |
3. SURA YA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Sentensi zenye sauti tata |
3.2. | Kusoma: Uchaguzi mdogo |
3.3. | Kuandika: Imla |
3.4. | Sarufi: Vivumishi Viashiria |
3.5. | Msamiati: Visawe |
4. SURA YA NNE
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hadithi |
4.2. | Kusoma: Riadha |
4.3. | Kuandika: Insha |
4.4. | Sarufi: Vivumishi vimilikishi na vivumishi visisitizi |
4.5. | Msamiati: Nominoambata |
5. SURA YA TANO
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Methali |
5.2. | Kusoma: Kilimo cha pamba |
5.3. | Kuandika: Insha ya methali |
5.4. | Sarufi: Vivumishi vya sifa na vivumishi vya pekee |
5.5. | Msamiati: Viumbe wa kike na kiume |
6. SURA YA SITA
Lead |
Chapter |
---|---|
6.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Misemo |
6.2. | Kusoma: Maktaba |
6.3. | Kuandika: Insha ya kumalizia |
6.4. | Sarufi: Kiambishi ‘po’ cha wakati |
6.5. | Msamiati: Tarakimu |
7. SURA YA SABA
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Majadiliano |
7.2. | Kusoma: Kazi |
7.3. | Kuandika: Insha ya mjadala |
7.4. | Sarufi: ‘O’ rejeshi ya awali |
7.5. | Msamiati: Vitawe |
8. SURA YA NANE
9. SURA YA TISA
Lead |
Chapter |
---|---|
9.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hotuba |
9.2. | Kusoma: Machozi ya barafu |
9.3. | Kuandika: Insha ya Hotuba |
9.4. | Sarufi: Alama za kuakifisha I |
9.5. | Msamiati: Malipo |
10. SURA YA KUMI
Lead |
Chapter |
---|---|
10.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Misemo |
10.2. | Kusoma: Ukimwi |
10.3. | Kuandika: Insha ya mazungumzo |
10.4. | Sarufi: Alama za kuakifisha II |
10.5. | Msamiati: Mapambo ya mwili |
11. SURA YA KUMI NA MOJA
Lead |
Chapter |
---|---|
11.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mafumbo |
11.2. | Kusoma: Maktaba |
11.3. | Kuandika: Insha ya Hotuba |
11.4. | Sarufi: ‘O’ Rejeshi ya tamati |
11.5. | Msamiati: Vitawe |
12. SURA YA KUMI NA MBILI
Lead |
Chapter |
---|---|
12.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mchezo wa kuigiza: Ajira ya watoto |
12.2. | Kusoma: Mtu ni utu |
12.3. | Kuandika: Insha ya kuendeleza |
12.4. | Sarufi: Matumizi ya ‘nge’, ‘ngali’ na ukanusho wake |
12.5. | Msamiati: Viwanda |
13. SURA YA KUMI NA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
13.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili |
13.2. | Kusoma: Haki za watoto |
13.3. | Kuandika: Insha ya maelezo |
13.4. | Sarufi: Viulizi |
13.5. | Msamiati: Majina ya nchi |
14. SURA YA KUMI NA NNE
Lead |
Chapter |
---|---|
14.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Dawa za kulevya |
14.2. | Kusoma: Mvua ya masika |
14.3. | Kuandika: Shairi |
14.4. | Sarufi: Viunganishi |
14.5. | Msamiati: Tarakimu (5,000,001–7,500,000) |
15. SURA YA KUMI NA TANO
Lead |
Chapter |
---|---|
15.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mapatano |
15.2. | Kusoma: Jinsi ya kutumia kamusi |
15.3. | Kuandika: Insha ya kuendeleza |
15.4. | Sarufi: Matumizi ya ‘kwa’ |
15.5. | Msamiati: Malipo mbalimbali |
16. SURA YA KUMI NA SITA
Lead |
Chapter |
---|---|
16.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Methali |
16.2. | Kusoma: Huduma ya kwanza |
16.3. | Kuandika: Insha – Barua rasmi |
16.4. | Sarufi: Kauli ya kutendesha na kutendana |
16.5. | Msamiati: Watu na kazi zao |
17. SURA YA KUMI NA SABA
Lead |
Chapter |
---|---|
17.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Matangazo |
17.2. | Kusoma: Ua la jangwani |
17.3. | Kuandika: Insha – Hotuba |
17.4. | Sarufi: Udogo, wastani na ukubwa wa nomino |
17.5. | Msamiati: Nomino za makundi |
18. SURA YA KUMI NA NANE
Lead |
Chapter |
---|---|
18.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Kiswahili Chanenwa |
18.2. | Kusoma: Uadilifu |
18.3. | Kuandika: Insha ya mjadala |
18.4. | Sarufi: Kauli ya kutendeana na kutendatenda |
18.5. | Msamiati: Watu na kazi zao |
19. SURA YA KUMI NA TISA
Lead |
Chapter |
---|---|
19.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mafumbo |
19.2. | Kusoma: Majumba ya kumbukumbu |
19.3. | Kuandika: Insha ya methali |
19.4. | Sarufi: Tanakali za sauti |
19.5. | Msamiati: Tarakimu |
20. SURA YA ISHIRINI
Lead |
Chapter |
---|---|
20.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili |
20.2. | Kusoma: Shairi |
20.3. | Kuandika: Insha ya wasifu |
20.4. | Sarufi: Matumizi ya ‘katika’ na ‘–ni’ |
21. SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Lead |
Chapter |
---|---|
21.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hadithi |
21.2. | Kusoma: Saba kwaheri |
21.3. | Kuandika: Insha ya kumalizia |
21.4. | Sarufi: Vivumishi vya sifa kutokana na vitenzi |
21.5. | Msamiati: Nomino za makundi |
22. SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Lead |
Chapter |
---|---|
22.1. | Mazoezi ya ziada |
22.2. | Mazoezi changamano |
23. SURA YA ISHIRINI NA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
23.1. | Karatasi za majaribio |